sw_tn/2co/04/05.md

830 B

Bali Kristo Yesu kama Bwana, na sisi wenyewe kama watumishi wenu

Unaweza ukaligawa tendo katika tungo hizi"Bali twamtangaza Kristo Yesu kuwa Bwana na tunatangaza sisi wenyewe kama watumishi wenu.

Kwa faida ya Kristo

"kwa sababu ya Yesu"

Nuru itang'aa toka gizani

Kwa sentensi hii, Paulo anarejea kwa Mungu kuumba nuru, kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Mwanzo.

Ameangaza katika mioyo yetu, kutoa mwanga wa maarifa ya utukufu wa Mungu

Hapa neno "nuru" lina maanisha uwezo wa kuelewa.Kama vile Mungu alivyoumba nuru, yeye pia huumba ufahamu kwa waamini.

katika mioyo yetu

Hapa neno " mioyo" lina maanisha akili na mawazo

mwanga wa maarifa ya utukufu wa Mungu

"nuru , ambayo ni maarifa ya utukufu wa Mungu"

utukufu wa Mungu katika uwepo wa Yesu Kristo.

"utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo."