# Bali Kristo Yesu kama Bwana, na sisi wenyewe kama watumishi wenu Unaweza ukaligawa tendo katika tungo hizi"Bali twamtangaza Kristo Yesu kuwa Bwana na tunatangaza sisi wenyewe kama watumishi wenu. # Kwa faida ya Kristo "kwa sababu ya Yesu" # Nuru itang'aa toka gizani Kwa sentensi hii, Paulo anarejea kwa Mungu kuumba nuru, kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Mwanzo. # Ameangaza katika mioyo yetu, kutoa mwanga wa maarifa ya utukufu wa Mungu Hapa neno "nuru" lina maanisha uwezo wa kuelewa.Kama vile Mungu alivyoumba nuru, yeye pia huumba ufahamu kwa waamini. # katika mioyo yetu Hapa neno " mioyo" lina maanisha akili na mawazo # mwanga wa maarifa ya utukufu wa Mungu "nuru , ambayo ni maarifa ya utukufu wa Mungu" # utukufu wa Mungu katika uwepo wa Yesu Kristo. "utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo."