sw_tn/2co/04/05.md

28 lines
830 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Bali Kristo Yesu kama Bwana, na sisi wenyewe kama watumishi wenu
Unaweza ukaligawa tendo katika tungo hizi"Bali twamtangaza Kristo Yesu kuwa Bwana na tunatangaza sisi wenyewe kama watumishi wenu.
# Kwa faida ya Kristo
"kwa sababu ya Yesu"
# Nuru itang'aa toka gizani
Kwa sentensi hii, Paulo anarejea kwa Mungu kuumba nuru, kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Mwanzo.
# Ameangaza katika mioyo yetu, kutoa mwanga wa maarifa ya utukufu wa Mungu
Hapa neno "nuru" lina maanisha uwezo wa kuelewa.Kama vile Mungu alivyoumba nuru, yeye pia huumba ufahamu kwa waamini.
# katika mioyo yetu
Hapa neno " mioyo" lina maanisha akili na mawazo
# mwanga wa maarifa ya utukufu wa Mungu
"nuru , ambayo ni maarifa ya utukufu wa Mungu"
# utukufu wa Mungu katika uwepo wa Yesu Kristo.
"utukufu wa Mungu katika uso wa Yesu Kristo."