sw_tn/2co/03/12.md

8 lines
289 B
Markdown

# Kwa kuwa tunaujasiri sana.
Hii ina maanisha kwamba Paulo tayari amesema. Ujasiri wake unatoka katika kufahamu kuwa agano jipya lina utukufu wa milele.
# mwisho wa utukufu ambao ulikuwa unatoweka
Ni marejeo ya utukufu ambao ulinga'ra juu ya uso wa Musa kama ulivyofifia mbali kabisa.