sw_tn/2co/03/12.md

289 B

Kwa kuwa tunaujasiri sana.

Hii ina maanisha kwamba Paulo tayari amesema. Ujasiri wake unatoka katika kufahamu kuwa agano jipya lina utukufu wa milele.

mwisho wa utukufu ambao ulikuwa unatoweka

Ni marejeo ya utukufu ambao ulinga'ra juu ya uso wa Musa kama ulivyofifia mbali kabisa.