# Kwa kuwa tunaujasiri sana. Hii ina maanisha kwamba Paulo tayari amesema. Ujasiri wake unatoka katika kufahamu kuwa agano jipya lina utukufu wa milele. # mwisho wa utukufu ambao ulikuwa unatoweka Ni marejeo ya utukufu ambao ulinga'ra juu ya uso wa Musa kama ulivyofifia mbali kabisa.