sw_tn/2co/03/04.md

732 B

huu ndiyo ujasiri

Inaelezea kwa kile ambacho Paulo amekisema. .Ujasiri wake unatoka katika kufahamu kwamba Wakorintho ni uthibitisho wa huduma yake mbele za Mungu.

Uhodari ndani yetu wenyewe

"Kustahili kwetu ndani yetu sisi wenyewe" au "Utoshelevu ndani yetu sisi wenyewe"

kudai kitu chochote kuwa kinatoka kwetu

kudai kuwa kitu chochote ambacho tumefanya katika huduma huduma huja kwa juhudi zetu sisi wenyewe"

Uhodari wetu unatoka kwa Mungu

"Mungu hutupa utoshelevu"

Agano lisilo la barua

"agano ambalo halijajikita juu ya sheria ambazo zimeandikwa na wanandamu.

lakini la Roho

"lakini ni agano ambalo limejikita juu ya kile ambacho Roho anafanya"

barua inaua

"sheria iliyoandikwa hupelekea kifo"