# huu ndiyo ujasiri Inaelezea kwa kile ambacho Paulo amekisema. .Ujasiri wake unatoka katika kufahamu kwamba Wakorintho ni uthibitisho wa huduma yake mbele za Mungu. # Uhodari ndani yetu wenyewe "Kustahili kwetu ndani yetu sisi wenyewe" au "Utoshelevu ndani yetu sisi wenyewe" # kudai kitu chochote kuwa kinatoka kwetu kudai kuwa kitu chochote ambacho tumefanya katika huduma huduma huja kwa juhudi zetu sisi wenyewe" # Uhodari wetu unatoka kwa Mungu "Mungu hutupa utoshelevu" # Agano lisilo la barua "agano ambalo halijajikita juu ya sheria ambazo zimeandikwa na wanandamu. # lakini la Roho "lakini ni agano ambalo limejikita juu ya kile ambacho Roho anafanya" # barua inaua "sheria iliyoandikwa hupelekea kifo"