sw_tn/2co/02/16.md

36 lines
871 B
Markdown

# ni harufu
"maarifa ya Kristo ni manukato ."
# harufu kutoka kifo hadi kifo
hili neno "kifo" limerudiwa kuweka msisitizo na tungo ina maanisha " harufu ya manukato inasababisha kifo" au "harufu ya manukato ya kifo ambayo husababisha wau kufa"
# mmoja anayeokolewa
"mmoja ambaye kwake Mungu anamwokoa"
# harufu ya manukato kutoka uhai hadi uhai
neno "uhai" limerudiwa kutoa msisitizo na tungo ina maanisha" harufu nzuri ya manukato inayotoa uhai" au " harufu nzuri ya maisha inayowafanya watu waishi"
# nani anayestahili vitu hivi
"hakuna anayestahili vitu hivi"
# usafi wa nia
"nia iliyo safi"
# Tunazungumza katika Kristo
Tunazungumza kama watu waliounganishwa kwa Kristo" au " tunazungumza kwa mamlaka ya Kristo"
# kama tulivyotumwa kutoka kwa Mungu
"kama watu ambao Mungu amewatuma"
# mbele za uso wa Mungu
"tunazungumza mbele za uwepo wa Mungu"