# ni harufu "maarifa ya Kristo ni manukato ." # harufu kutoka kifo hadi kifo hili neno "kifo" limerudiwa kuweka msisitizo na tungo ina maanisha " harufu ya manukato inasababisha kifo" au "harufu ya manukato ya kifo ambayo husababisha wau kufa" # mmoja anayeokolewa "mmoja ambaye kwake Mungu anamwokoa" # harufu ya manukato kutoka uhai hadi uhai neno "uhai" limerudiwa kutoa msisitizo na tungo ina maanisha" harufu nzuri ya manukato inayotoa uhai" au " harufu nzuri ya maisha inayowafanya watu waishi" # nani anayestahili vitu hivi "hakuna anayestahili vitu hivi" # usafi wa nia "nia iliyo safi" # Tunazungumza katika Kristo Tunazungumza kama watu waliounganishwa kwa Kristo" au " tunazungumza kwa mamlaka ya Kristo" # kama tulivyotumwa kutoka kwa Mungu "kama watu ambao Mungu amewatuma" # mbele za uso wa Mungu "tunazungumza mbele za uwepo wa Mungu"