sw_tn/2co/02/16.md

871 B

ni harufu

"maarifa ya Kristo ni manukato ."

harufu kutoka kifo hadi kifo

hili neno "kifo" limerudiwa kuweka msisitizo na tungo ina maanisha " harufu ya manukato inasababisha kifo" au "harufu ya manukato ya kifo ambayo husababisha wau kufa"

mmoja anayeokolewa

"mmoja ambaye kwake Mungu anamwokoa"

harufu ya manukato kutoka uhai hadi uhai

neno "uhai" limerudiwa kutoa msisitizo na tungo ina maanisha" harufu nzuri ya manukato inayotoa uhai" au " harufu nzuri ya maisha inayowafanya watu waishi"

nani anayestahili vitu hivi

"hakuna anayestahili vitu hivi"

usafi wa nia

"nia iliyo safi"

Tunazungumza katika Kristo

Tunazungumza kama watu waliounganishwa kwa Kristo" au " tunazungumza kwa mamlaka ya Kristo"

kama tulivyotumwa kutoka kwa Mungu

"kama watu ambao Mungu amewatuma"

mbele za uso wa Mungu

"tunazungumza mbele za uwepo wa Mungu"