sw_tn/2co/02/08.md

500 B

Sentensi Unganishi

Paulo analitia moyo kanisa katika Korintho kuonyesha pendo na kuwasamehe watu wale ambao wamewahukumu. Anaandika kwamba, yeye pia amemsamehe yeye.

thibitisheni pendo lenu hadharani kwa kwa ajili yake

Ina maanisha kwamba wanapaswa kuthibitisha pendo lao kwa ajili ya mtu huyu mbele ya wakristo wote.

ninyi ni watii katika kila jambo

maana pendekezwa ni hizi 1)" ninyi ni watii kwa Mungu katika kila kila kitu" au 2) "ninyi mna utii katika kila jambo nililo wafundisha"