# Sentensi Unganishi Paulo analitia moyo kanisa katika Korintho kuonyesha pendo na kuwasamehe watu wale ambao wamewahukumu. Anaandika kwamba, yeye pia amemsamehe yeye. # thibitisheni pendo lenu hadharani kwa kwa ajili yake Ina maanisha kwamba wanapaswa kuthibitisha pendo lao kwa ajili ya mtu huyu mbele ya wakristo wote. # ninyi ni watii katika kila jambo maana pendekezwa ni hizi 1)" ninyi ni watii kwa Mungu katika kila kila kitu" au 2) "ninyi mna utii katika kila jambo nililo wafundisha"