sw_tn/2co/02/08.md

12 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo analitia moyo kanisa katika Korintho kuonyesha pendo na kuwasamehe watu wale ambao wamewahukumu. Anaandika kwamba, yeye pia amemsamehe yeye.
# thibitisheni pendo lenu hadharani kwa kwa ajili yake
Ina maanisha kwamba wanapaswa kuthibitisha pendo lao kwa ajili ya mtu huyu mbele ya wakristo wote.
# ninyi ni watii katika kila jambo
maana pendekezwa ni hizi 1)" ninyi ni watii kwa Mungu katika kila kila kitu" au 2) "ninyi mna utii katika kila jambo nililo wafundisha"