sw_tn/2co/02/05.md

552 B

katika vipimo vingine

"katika baadhi ya sehemu"

bila kuweka uchungu zaidi

" maana zinazopendekezwa ni 1) "Sipendi niseme kwa ukali sana" au 2) Sipendi kulikuza."

Kuhukumiwa kawa mtu yule na watu wengi inatosha

Hii inawea kuelezwa kwa kwa kauli tendaji. Neno " hukumu" linaweza kutafsiriwa kutumia kitenzi. " Kwa jinsi watu wengi walivyomwadhibu mtu huyu inatosha"

inatosha

ni ya kuridhisha

hajatetereshwa na wingi wa huzuni

Ina maanisha kuwa na mwitikio dhabiti wa hisia kwa huzuni nyingi. "huzuni nyingi haziwezi kumwogopesha"