sw_tn/2co/02/05.md

20 lines
552 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# katika vipimo vingine
"katika baadhi ya sehemu"
# bila kuweka uchungu zaidi
" maana zinazopendekezwa ni 1) "Sipendi niseme kwa ukali sana" au 2) Sipendi kulikuza."
# Kuhukumiwa kawa mtu yule na watu wengi inatosha
Hii inawea kuelezwa kwa kwa kauli tendaji. Neno " hukumu" linaweza kutafsiriwa kutumia kitenzi. " Kwa jinsi watu wengi walivyomwadhibu mtu huyu inatosha"
# inatosha
ni ya kuridhisha
# hajatetereshwa na wingi wa huzuni
Ina maanisha kuwa na mwitikio dhabiti wa hisia kwa huzuni nyingi. "huzuni nyingi haziwezi kumwogopesha"