# katika vipimo vingine "katika baadhi ya sehemu" # bila kuweka uchungu zaidi " maana zinazopendekezwa ni 1) "Sipendi niseme kwa ukali sana" au 2) Sipendi kulikuza." # Kuhukumiwa kawa mtu yule na watu wengi inatosha Hii inawea kuelezwa kwa kwa kauli tendaji. Neno " hukumu" linaweza kutafsiriwa kutumia kitenzi. " Kwa jinsi watu wengi walivyomwadhibu mtu huyu inatosha" # inatosha ni ya kuridhisha # hajatetereshwa na wingi wa huzuni Ina maanisha kuwa na mwitikio dhabiti wa hisia kwa huzuni nyingi. "huzuni nyingi haziwezi kumwogopesha"