sw_tn/2co/02/03.md

831 B

Niliandika kama nilivyofanya

Hiki kinarejea barua nyingine ya Paulo aliyokuwa ameiandika kwa wakristo wa Korintho ambaye haipo." Niliandika kama nilivyofanya katika barua zangu za awali"

Nisingeumizwa na wale waliopaswa kunifanya mimi nifurahi

Paulo anazungumzia kuhusu mwenendo wa baaadhi ya wakristo wa Korintho waliomsababishia yeye maumivu ya kisaikolojia .Hiki kinaweza kuelezwa kwajinsi ya kauli tendaji " wale wliopaswa kunifanya mimi nifurahi wasingeniumiza"

fuaha yangu ni ni furaha ile ile mliyo nayo nyote

"Kile kinachonipa mimi kufurahi ni kile kile kinachowapa ninyi furaha pia"

kutoka katika "mateso" makubwa

Hapa neno "mateso" linaelezea maumivu ya hisia

kwa dhiki ya moyo

Sehemu hii neno "moyo" linamaanisha mahali pa hisia." na huzuni kubwa"

na kwa machozi mengi

"na kwa kulia kwingi"