sw_tn/2co/02/03.md

24 lines
831 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Niliandika kama nilivyofanya
Hiki kinarejea barua nyingine ya Paulo aliyokuwa ameiandika kwa wakristo wa Korintho ambaye haipo." Niliandika kama nilivyofanya katika barua zangu za awali"
# Nisingeumizwa na wale waliopaswa kunifanya mimi nifurahi
Paulo anazungumzia kuhusu mwenendo wa baaadhi ya wakristo wa Korintho waliomsababishia yeye maumivu ya kisaikolojia .Hiki kinaweza kuelezwa kwajinsi ya kauli tendaji " wale wliopaswa kunifanya mimi nifurahi wasingeniumiza"
# fuaha yangu ni ni furaha ile ile mliyo nayo nyote
"Kile kinachonipa mimi kufurahi ni kile kile kinachowapa ninyi furaha pia"
# kutoka katika "mateso" makubwa
Hapa neno "mateso" linaelezea maumivu ya hisia
# kwa dhiki ya moyo
Sehemu hii neno "moyo" linamaanisha mahali pa hisia." na huzuni kubwa"
# na kwa machozi mengi
"na kwa kulia kwingi"