# Niliandika kama nilivyofanya Hiki kinarejea barua nyingine ya Paulo aliyokuwa ameiandika kwa wakristo wa Korintho ambaye haipo." Niliandika kama nilivyofanya katika barua zangu za awali" # Nisingeumizwa na wale waliopaswa kunifanya mimi nifurahi Paulo anazungumzia kuhusu mwenendo wa baaadhi ya wakristo wa Korintho waliomsababishia yeye maumivu ya kisaikolojia .Hiki kinaweza kuelezwa kwajinsi ya kauli tendaji " wale wliopaswa kunifanya mimi nifurahi wasingeniumiza" # fuaha yangu ni ni furaha ile ile mliyo nayo nyote "Kile kinachonipa mimi kufurahi ni kile kile kinachowapa ninyi furaha pia" # kutoka katika "mateso" makubwa Hapa neno "mateso" linaelezea maumivu ya hisia # kwa dhiki ya moyo Sehemu hii neno "moyo" linamaanisha mahali pa hisia." na huzuni kubwa" # na kwa machozi mengi "na kwa kulia kwingi"