sw_tn/2co/01/15.md

20 lines
580 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anaeleza matumaini yake ya hakika kwa hamasa safi kuja kuwaona waumini katika Korintho baada ya barua yake ya kwanza.
# Maelezo ya jumla
Paulo aliandika takribani barua 3 kwa Wakorintho.barua 2 tu kwa Korintho zimeandikwa katika Biblia.
# Kwa sababu nilikuwa mwenye ujasiri kuhusu hili
Neno "hili" linaelezea maneno ya mwanzo ya Paulo kuhusu Wakorintho.
# mtaweza kupokea faida ya ziara zangu mbili
mtaweza kunufaika kutoka kwangu nitakapowatembelea mara ya pili.
# mnitume kwa safari yangu ya Uyahudi
Mniwezeshe kwa safari yangu ya Uyahudi