# Sentensi unganishi Paulo anaeleza matumaini yake ya hakika kwa hamasa safi kuja kuwaona waumini katika Korintho baada ya barua yake ya kwanza. # Maelezo ya jumla Paulo aliandika takribani barua 3 kwa Wakorintho.barua 2 tu kwa Korintho zimeandikwa katika Biblia. # Kwa sababu nilikuwa mwenye ujasiri kuhusu hili Neno "hili" linaelezea maneno ya mwanzo ya Paulo kuhusu Wakorintho. # mtaweza kupokea faida ya ziara zangu mbili mtaweza kunufaika kutoka kwangu nitakapowatembelea mara ya pili. # mnitume kwa safari yangu ya Uyahudi Mniwezeshe kwa safari yangu ya Uyahudi