sw_tn/2co/01/15.md

580 B

Sentensi unganishi

Paulo anaeleza matumaini yake ya hakika kwa hamasa safi kuja kuwaona waumini katika Korintho baada ya barua yake ya kwanza.

Maelezo ya jumla

Paulo aliandika takribani barua 3 kwa Wakorintho.barua 2 tu kwa Korintho zimeandikwa katika Biblia.

Kwa sababu nilikuwa mwenye ujasiri kuhusu hili

Neno "hili" linaelezea maneno ya mwanzo ya Paulo kuhusu Wakorintho.

mtaweza kupokea faida ya ziara zangu mbili

mtaweza kunufaika kutoka kwangu nitakapowatembelea mara ya pili.

mnitume kwa safari yangu ya Uyahudi

Mniwezeshe kwa safari yangu ya Uyahudi