sw_tn/2co/01/12.md

787 B

Tunaona fahari juu ya hili..sababu yenu ya kujisifu

"Maneno "kujisifu" na kuona fahari " yametumika hapa katika mtazamo chanya wa utoshelevu wa hisia kubwa na furaha katka kitu fulani.

ushuhuda wa dhamiri zetu

Fikra za Paulo na Timotheo kuhusu matendo yao yashuhudia kwamba wameishi katika njia impendezayo Mungu.

siyo katika hekima ya kidunia

Neno "ya kidunia" linaeleza kile kinachotambulisha jamii ya wanadamu ambayo haimchi Mungu. "siyo kwa kufuata hekima ya kibinadamu"

hatuwaandikii chochote msichoweza kukisoma au kukielewa

Hii inaweza kuelezwa kuwa "Mnaweza kukisoma na kukielewa kila kitu tunachowaandikieni"

kama vile mtakavyokuwa wetu

"Unaweza kuyagawa maneno "Sababu yetu kuona fahari" kujaza duaradufu. "kama mtakavyokuwa sababu yetu ya kuona fahari"