sw_tn/2co/01/12.md

20 lines
787 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tunaona fahari juu ya hili..sababu yenu ya kujisifu
"Maneno "kujisifu" na kuona fahari " yametumika hapa katika mtazamo chanya wa utoshelevu wa hisia kubwa na furaha katka kitu fulani.
# ushuhuda wa dhamiri zetu
Fikra za Paulo na Timotheo kuhusu matendo yao yashuhudia kwamba wameishi katika njia impendezayo Mungu.
# siyo katika hekima ya kidunia
Neno "ya kidunia" linaeleza kile kinachotambulisha jamii ya wanadamu ambayo haimchi Mungu. "siyo kwa kufuata hekima ya kibinadamu"
# hatuwaandikii chochote msichoweza kukisoma au kukielewa
Hii inaweza kuelezwa kuwa "Mnaweza kukisoma na kukielewa kila kitu tunachowaandikieni"
# kama vile mtakavyokuwa wetu
"Unaweza kuyagawa maneno "Sababu yetu kuona fahari" kujaza duaradufu. "kama mtakavyokuwa sababu yetu ya kuona fahari"