# Hakujinyenyekesha mwenyewe mbele za Yeremia nabii.
"Hakujinyenyekesha mwenyewe na kumtii Mungu kwa kumsikiliza nabii Yeremia "
# Kutoka kwenye kinywa cha Yahwe.
"Kutoka kwenye maneno ambayo Mungu alikuwa amempa."