sw_tn/2ch/36/11.md

218 B

Hakujinyenyekesha mwenyewe mbele za Yeremia nabii.

"Hakujinyenyekesha mwenyewe na kumtii Mungu kwa kumsikiliza nabii Yeremia "

Kutoka kwenye kinywa cha Yahwe.

"Kutoka kwenye maneno ambayo Mungu alikuwa amempa."