# Hakujinyenyekesha mwenyewe mbele za Yeremia nabii. "Hakujinyenyekesha mwenyewe na kumtii Mungu kwa kumsikiliza nabii Yeremia " # Kutoka kwenye kinywa cha Yahwe. "Kutoka kwenye maneno ambayo Mungu alikuwa amempa."