sw_tn/2ch/34/26.md

435 B

Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi: kuhusu maneno uliyoyasikia, kwa sababu ya moyo wako ulipondeka.

" Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi kuhusu maneno uliyoyasikia, kwa sababu moyo wako ulipondeka -ukakubali kubadilika".

.Umeyalarua mavazi yako.

Hii ilikuw ishara ya hudhuni na toba.

Nitakukusanya pakwa babu zako. Utakusanywa katika kaburi lako kwa amani.

"Utakufa."

Macho yako hayataona.

"Hautaonja au kusshudia."