# Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi: kuhusu maneno uliyoyasikia, kwa sababu ya moyo wako ulipondeka. " Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi kuhusu maneno uliyoyasikia, kwa sababu moyo wako ulipondeka -ukakubali kubadilika". # .Umeyalarua mavazi yako. Hii ilikuw ishara ya hudhuni na toba. # Nitakukusanya pakwa babu zako. Utakusanywa katika kaburi lako kwa amani. "Utakufa." # Macho yako hayataona. "Hautaonja au kusshudia."