sw_tn/2ch/34/26.md

16 lines
435 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi: kuhusu maneno uliyoyasikia, kwa sababu ya moyo wako ulipondeka.
" Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi kuhusu maneno uliyoyasikia, kwa sababu moyo wako ulipondeka -ukakubali kubadilika".
# .Umeyalarua mavazi yako.
Hii ilikuw ishara ya hudhuni na toba.
# Nitakukusanya pakwa babu zako. Utakusanywa katika kaburi lako kwa amani.
"Utakufa."
# Macho yako hayataona.
"Hautaonja au kusshudia."