sw_tn/2ch/34/20.md

577 B

Taarifa za jumla:

Hii ni ordha ya majina ya makuhani na watumishi mbali mbali wa mfalme katika nhyumba ya Mungu kwa wakatai huo.

Mkaulize mapenzi ya Yahwe kwa ajili yangu.

"Maulize ili mjue ambacho Yahwe anataka nifanye".

"Kwa sababu ya maneno ya kitabu"

"Kwa mjibu wa yale yaliyoandikwa katika kitabu"

Kwa maana ni kikuu, gadhabu ya Yahwe ambayo imemiminwa juu yetu. Ni kuu.

Aina ya hisia kama gadhabaau au hasira huzungumzwa kama kimiminika; kwa kuwa gadhabu ya Yahwe dhidi yetu ni kuu, kama vile maji ambayo yanauwezo wa kuosha kabisa na kutufutilia mbali".