sw_tn/2ch/34/20.md

16 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla:
Hii ni ordha ya majina ya makuhani na watumishi mbali mbali wa mfalme katika nhyumba ya Mungu kwa wakatai huo.
# Mkaulize mapenzi ya Yahwe kwa ajili yangu.
"Maulize ili mjue ambacho Yahwe anataka nifanye".
# "Kwa sababu ya maneno ya kitabu"
"Kwa mjibu wa yale yaliyoandikwa katika kitabu"
# Kwa maana ni kikuu, gadhabu ya Yahwe ambayo imemiminwa juu yetu. Ni kuu.
Aina ya hisia kama gadhabaau au hasira huzungumzwa kama kimiminika; kwa kuwa gadhabu ya Yahwe dhidi yetu ni kuu, kama vile maji ambayo yanauwezo wa kuosha kabisa na kutufutilia mbali".