# Taarifa za jumla: Hii ni ordha ya majina ya makuhani na watumishi mbali mbali wa mfalme katika nhyumba ya Mungu kwa wakatai huo. # Mkaulize mapenzi ya Yahwe kwa ajili yangu. "Maulize ili mjue ambacho Yahwe anataka nifanye". # "Kwa sababu ya maneno ya kitabu" "Kwa mjibu wa yale yaliyoandikwa katika kitabu" # Kwa maana ni kikuu, gadhabu ya Yahwe ambayo imemiminwa juu yetu. Ni kuu. Aina ya hisia kama gadhabaau au hasira huzungumzwa kama kimiminika; kwa kuwa gadhabu ya Yahwe dhidi yetu ni kuu, kama vile maji ambayo yanauwezo wa kuosha kabisa na kutufutilia mbali".