sw_tn/2ch/34/14.md

12 lines
377 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
Hilkia alikuwa kuhani na Shefank alikuwa mwandishi, yaani mtu aliyekuwa na kazi ya kuandika mambo mbali mbali yamhusuyo Mungu.
# Walipoileta fedha ambayo ilikuwa imeletwa kwenye nyumba ya Yahwe.
"Wasimamizi walipokuwa wanaipokea fedha kwenye hekalu"
# Watumishi wak wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.
"Kila kitu ambacho uliwapa jukumu la kukifanya"