sw_tn/2ch/34/14.md

377 B

Taarifa za jumla:

Hilkia alikuwa kuhani na Shefank alikuwa mwandishi, yaani mtu aliyekuwa na kazi ya kuandika mambo mbali mbali yamhusuyo Mungu.

Walipoileta fedha ambayo ilikuwa imeletwa kwenye nyumba ya Yahwe.

"Wasimamizi walipokuwa wanaipokea fedha kwenye hekalu"

Watumishi wak wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.

"Kila kitu ambacho uliwapa jukumu la kukifanya"