sw_tn/2ch/33/18.md

16 lines
315 B
Markdown

# Yameandikwa miongoni mwa wafalme wa Yuda.
Tukio hili katika historia ya Israeli halipo tena.
# Tarehe ya waonaji.
Hiki ni kitabu ambacho hakipo tena.
# Kwa hiyo Manase akalala pamoja na babu zake, na walimzika pamoja nao.
"Kwa hiyo Manase akafa, na familia yake wakamzika".
# Amoni.
Hili ni jina la kiume.