# Yameandikwa miongoni mwa wafalme wa Yuda. Tukio hili katika historia ya Israeli halipo tena. # Tarehe ya waonaji. Hiki ni kitabu ambacho hakipo tena. # Kwa hiyo Manase akalala pamoja na babu zake, na walimzika pamoja nao. "Kwa hiyo Manase akafa, na familia yake wakamzika". # Amoni. Hili ni jina la kiume.