sw_tn/2ch/33/18.md

315 B

Yameandikwa miongoni mwa wafalme wa Yuda.

Tukio hili katika historia ya Israeli halipo tena.

Tarehe ya waonaji.

Hiki ni kitabu ambacho hakipo tena.

Kwa hiyo Manase akalala pamoja na babu zake, na walimzika pamoja nao.

"Kwa hiyo Manase akafa, na familia yake wakamzika".

Amoni.

Hili ni jina la kiume.