sw_tn/2ch/33/04.md

12 lines
302 B
Markdown

# Jina langu litawekwa.
"Nitajifanya mwenyewe nijulikane kwa watu"
# Akawaweka wanaye katika moto.
"Hiki kilikuwa kitendo cha kuwachoma watoto katika moto kama wakiwa hai kama sadaka kwa miungu"
# Bonde la Beni Hinomu
Hii ni sehemu iliyopo karibu na Yerusalemu ambayo pia inajulikana kama Jehena.