sw_tn/2ch/33/04.md

302 B

Jina langu litawekwa.

"Nitajifanya mwenyewe nijulikane kwa watu"

Akawaweka wanaye katika moto.

"Hiki kilikuwa kitendo cha kuwachoma watoto katika moto kama wakiwa hai kama sadaka kwa miungu"

Bonde la Beni Hinomu

Hii ni sehemu iliyopo karibu na Yerusalemu ambayo pia inajulikana kama Jehena.