# Jina langu litawekwa. "Nitajifanya mwenyewe nijulikane kwa watu" # Akawaweka wanaye katika moto. "Hiki kilikuwa kitendo cha kuwachoma watoto katika moto kama wakiwa hai kama sadaka kwa miungu" # Bonde la Beni Hinomu Hii ni sehemu iliyopo karibu na Yerusalemu ambayo pia inajulikana kama Jehena.