sw_tn/2ch/25/18.md

16 lines
393 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli na Amaziahi alikuwa mfalme wa Yuda.
# baruti.
Huu ni mstu mdogo.
# Mwerezi.
Aina fulani ya mti mkubwa sana. Hapa neno hili linawakilisha wanajeshi au askari wa Israeli.
# Kwa nini ujisababishie matatizo mwenyewe na kuanguka wewe na Yuda pamoja nawe?
"Hupaswi kujisababishaia matatizo mwenyewe na kujiangusha, wewe pamoja na Yuda."