sw_tn/2ch/25/18.md

393 B

Taarifa za jumla:

Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli na Amaziahi alikuwa mfalme wa Yuda.

baruti.

Huu ni mstu mdogo.

Mwerezi.

Aina fulani ya mti mkubwa sana. Hapa neno hili linawakilisha wanajeshi au askari wa Israeli.

Kwa nini ujisababishie matatizo mwenyewe na kuanguka wewe na Yuda pamoja nawe?

"Hupaswi kujisababishaia matatizo mwenyewe na kujiangusha, wewe pamoja na Yuda."