# Taarifa za jumla: Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli na Amaziahi alikuwa mfalme wa Yuda. # baruti. Huu ni mstu mdogo. # Mwerezi. Aina fulani ya mti mkubwa sana. Hapa neno hili linawakilisha wanajeshi au askari wa Israeli. # Kwa nini ujisababishie matatizo mwenyewe na kuanguka wewe na Yuda pamoja nawe? "Hupaswi kujisababishaia matatizo mwenyewe na kujiangusha, wewe pamoja na Yuda."