sw_tn/2ch/23/20.md

4 lines
189 B
Markdown

# Akamleta chini mfalme kutoka kwenye nyumba ya Yahwe.
Hekalu lilikuwa limejengwa juu ya mlima huko Yerusalemu. "Alimleta mfalme kutoka hekaluni kutoka juu ya kilele cha mlima hadi ikulu.