# Akamleta chini mfalme kutoka kwenye nyumba ya Yahwe. Hekalu lilikuwa limejengwa juu ya mlima huko Yerusalemu. "Alimleta mfalme kutoka hekaluni kutoka juu ya kilele cha mlima hadi ikulu.