sw_tn/2ch/23/20.md

189 B

Akamleta chini mfalme kutoka kwenye nyumba ya Yahwe.

Hekalu lilikuwa limejengwa juu ya mlima huko Yerusalemu. "Alimleta mfalme kutoka hekaluni kutoka juu ya kilele cha mlima hadi ikulu.