sw_tn/2ch/20/27.md

210 B

Kila mtu wa Yuda na Yerusalemu.

Hii ni namna ya kusema kwamba kila mwanaume aendaye vitani.

Yehoshafati katika uongozi wao.

Mfalme Yehoshafati alikuwa mbele ya jeshi lote walipokuwa wakirudi Yerusalemu.