# Kila mtu wa Yuda na Yerusalemu. Hii ni namna ya kusema kwamba kila mwanaume aendaye vitani. # Yehoshafati katika uongozi wao. Mfalme Yehoshafati alikuwa mbele ya jeshi lote walipokuwa wakirudi Yerusalemu.